Read more

 


Katika maisha huwa tunafanya makisa na mara nyingi tunapofanya akosa hayo huwa tunasahau kabisa kama tumewahi kufanya makosa katika maisha yetu. Tunawewza kufanya makosa hayo kwa kujua au kwa kutokujua na mara nyingi huwa tunajua kama tunafanya makosa lakini tunapuuzia na kuona hakuna chochote kinachoweza kufanyika. Tunatakiwa kukumbuka kila kosa unalofanya usipolisahihisha mapema basi gharama ya kusahihisha huwa ni kubwa, utasahihisha kwa maumivu makubwa na machozi mengi sana. Fuatilia hadithi hii ya CHUKIZO kuona namna kijana Leonard alivyolipa gharama ya makosa yake.

Product details

  • ASIN ‏ : ‎ B0BSS23CX9
  • Publication date ‏ : ‎ January 20, 2023
  • Language ‏ : ‎ Swahili
  • File size ‏ : ‎ 1053 KB
  • Enhanced typesetting ‏ : ‎ Enabled
  • X-Ray ‏ : ‎ Not Enabled
  • Word Wise ‏ : ‎ Not Enabled
  • Sticky notes ‏ : ‎ On Kindle Scribe
  • Print length ‏ : ‎ 161 pages

price/TZS 4,657